Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#OFA OFA OFA NIMEISHUSHA MIEZI KIDOGO LIPA 230,000 × 3 Au 220,000 × 6
NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
Distance: KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBANI 🚶🚶
📍SEBULE KUBWA SANA
📍CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
📍JIKO ZURI KUBWA
📍PUBLIC TOILET NZUR YA NJE 🚻
📍TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
📍LUKU YAKO
📍MAJI METER YAKO
📍DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
📍RESERVE TANK
📍NDAN YA FENCE
📍PARKING SPACE KUBWA 🚘
📍PAVING BLOCK SAFI 🚫
📍MAZINGIRA MAZURI Na TULIVU SANA 👍
KODI NI 230,000 × 3 Au 220,000 × 6 CHAGUO NI LAKO NDUGU MTEJA WANGU
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp