Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
📣 Apartment Mpyaza Kisasa Zinapangishwa KIMARA BARUTI
📍 Kodi ni 400,000/= ×6
📍 Wahi imebaki moja tu
_
______
• Chumba kikubwa kimoja cha kulala
• Seble kubwa
• Jiko la kisasa lina wekwa makabati
• Choo Ndani
* Full air condition (A/c)
* Heater ya maji moto maji baridi
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Electric fence
* Washing mashine
* Free WiFi
* Geti la Remote
* Paving blocks Zinawekwa
* Parking space kubwa sana
#Upande wa barabara ya Lami ya Chuo
#Umbali wa Kutembea dakika 14 au bodaboda 1,000/=
#Note: Zinakuwa tayari kuhamia tarehe 30/11/2024, kuona na kuishika nyumba ruksa
________
#Malipo ya Dalali Nasoni ni Tsh 400,000/=
#Kupelekwa kuona 15,000/=
№:- 0753172516