Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


:
๐ผ๐ฅ๐๐ง๐ฉ๐ข๐๐ฃ๐ฉ ๐๐ฏ๐ช๐ง๐ ๐ฎ๐ ๐๐ช๐ฅ๐๐ฃ๐๐
#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 8 Kutoka Kituoni Main Road
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Sebule Kubwa
โข Chumba Kimoja cha Kulala Kikubwa
โข Jiko/Open Kitchen
โข Choo Kizuri Ndani
Apartment zipo 4 Tu ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani Chooni na Jikoni.
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
TSH. 250,000/- Kwa Malipo ya Mwaka
#๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 10,000 tu Utaonyeshwa Nyumba zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali.
๐ฟ๐๐ก๐๐ก๐ ๐๐๐ช๐ฃ๐๐ค
0716 776247 WhatsApp
0754 221168 WhatsApp