Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENTs CLASSIC ZINAPANGISHWA
Location: KIMARA SUKA
Zipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
Distance: KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
Kwa Kutembea Dk 15 Tu 🚶🚶
A.
Sebule Kubwa
Chumba Kimoja Kikubwa
Sehemu Ya Kupikia
KODI 200,000 × 6
SEHEMU YA PILI KUNA CHUMBA KIKUBWA CHOO CHA KWAKO PEKE AKO KWA PEMBENI ILA KIPO NDANI YA NYUMBA KODI 100.000/ KWA MWEZI ILIPWE YA MIEZI 6
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
KUBWA NA ULINZI WA KUTOSHA
NYUMBA KWA UJUMLA INA WAPANGAJI WATATU TU NA KILA MMOJA ANATUMIA UMEME WAKE MWENYEWE ILA MAJI MNASHEA BILL
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp