Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
๐น๐ฟ#APARTMENT #INAPANGISHWA
๐Kimara korogwe , Dar es Salaam
๐Dakika 15 _17 Kutembea toka Kituo Cha Mwendokasi, Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
๐นChumba Kimoja, Master
๐นSebule
๐นJiko
๐นUmeme LUKU yake, Maji yanaflow ๐นndani
๐นFence & Car Parking
๐นPana mlinzi Wakampuni 24/7 hrs
๐ถKodi Tsh 250,000/=x6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali roony Tsh 250,000/=
๐ถService Charge Tsh 15,000/-
๐Fance amna ila usalama wa kutosha
#Piga_simu๐
#. & Whatsapp
#please #Follow us...๐
Karibu Sana Mteja๐
0712656027