Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6) KIMARA TEMBONI 2KM BAJAJI 700
:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖 #Mpyaa
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA TEMBONI
Umbali wa Kilomita 2 Kutoka Main Road, Usafiri Bajaj 700 na Boda 1000
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Cha Kulala Kikubwa
• Jiko Kubwa
• Choo Kizuri Ndani
• Full AC
• Heater
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000\\\/- Malipo Miezi 6
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000 tu
CONTACT US:-
0716223412
0683597453