Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT FOR RENT
LOCATION
KIMARA BARUTI
DK 13 TOKA MOROGORO ROAD
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
SOMA MAELEZO VIZURI
HII LIPIA UNAVYOWEZA
375,000/=X1
350,000/=X3
320,000/=X4
290,000/=X6
290,000/=X12
HII x12 UNAPEWA OFA MWEZI 1 BURE
MIMI SIMO JIMALIZE MWENYEWE NDUGU MTEJA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347