Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYA  ZINAPANGISHWA;
💧Location :: MBEZI MWISHO - KARIBU KABISA NA LAMI 
💧Bei :: 330,000Tsh Miezi 6
 
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta 
📍Sebule kubwa 
📍Choo cha Public 
📍Jiko lenye makabati 
📍Fence 
📍AC chumbani
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
dalalimbezibeach_goba_salasala 
#0715127812call




















