Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


(270,000X6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT ZINAPANGISHWA;#MPYA_MPYA
#CHUMBA_CHOO_SEBULE_NA_JIKO
💧Location ::MBEZI KIBANDA CHA MKAA UMBALI WA DAKIKA 7 KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
💧Bei :: 270,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 6
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba kimoja Cha kulala
📍Sebule
📍Jiko lenye makabati [Open kitchen]
📍Choo Cha Ndani
📍Fence Ya waya Mlinzi yupo analipwa na mwenye Nyumba
📍Feni
📍Umeme wako
📍Air Condition Sebuleni
📍Heater ya maji ya moto
Zitakuwa tayari tarehe 10.9.2024 Kulipia Ruksa
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
CONTACT US:-
0679 956 863
0759151524