Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam







(150,000 × 6) #MPYAA #MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAA
NEW NEW APARTMENTS FOR RENT AT MBEZI KIBANDA CHA MKAAA
UMBALI KM 1.5
✔️CHUMBA MASTER
✔️SEBULE
BAJAJI 700 BODA BUKU
UKISHUKA DK 2 UNAPIGA TEKE MLANGO
BEI 150,000 × 6
CHUMBA
SEBULE
CHOO KIZURI NDANI
NDANI YA FENSI
MAJI YANAFLOW NDANI
SHOWER SYSTEM
MPYAAAAA SAFI
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0716223412
0618976024