Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam





APARTMENT MPYAA MPYAA ZA KISASA ZINAPANGISHWA
LOCATION..ST. JOSEPH
UMBALI TOKA LAMI
NI 3KM
NGUGU MTEJA HAPA KUNA AINA 2 ZA NYUMBA
SIFA ZAKE NYUMBA 1
Chumba
Sebule
Choo
JIKO
Kodi..150,000x6
Umeme SUBMETER
Maji bill 2
Ipo ndani ya fensi
-----------------------------------
SIFA ZAKE NYUMBA 2
-----------------------------------
Chumba na choo chake ndani
Sehemu ya kupikia
Umeme 4
Maji 4 yanatoka chooni
KODI: 80,000x6
-----------------------------------
BODA 1500 KUTOKA ST. JOSEPH
Bajaji 1000 kutoka mbezi
BODA 2000 KUTOKA MBEZI MWISHO
BAJAJI 1000 KUTOKA MBEZI
NYUMBA HIZI ZIPO NDANI YA FENC USALAMA UPO WA KUTOSHA NA MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA PEVING
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000 👈
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
KITEMO DALALI KIMARA GOBA
CONTACT
SMS CALL
0719745506 watsup
0741994657