Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment house for rent Kali Sana nzuri
Location Mbezi kwa msuguli km 2 usafiri bajaji na boda
Kodi 150000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service charge 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master
Sebule
Umeme luku yake
Maji dawasa ndan yanafloo
Parking space fency
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128