Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA LAMI JAMANI JAMANI JAMANI HAIKAI
——
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH NYUMBA LAMI
______________________
KODI TSHS 500,000KWA MWEZI
———
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIBACHELA
_______
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala ambacho ni #Master
#Sebule na #Jiko lenye#Makabati
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#FencedApart
————
Nione
0719523533
0689590210
0748887892
NB: NYUMBA ITAKUWA WAZI MWISHO WA MWEZI HUU WA 8.2024 KUONA RUKSA KULIPIA RUKSA