Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #MPYAA #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Kibanda Cha Mkaa
🕑Dakika 7 Kutembea kutoka Morogoro Main Road
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Chakulala
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Choo cha ndani
🔹Air Conditioner Sebuleni
🔹Heater ya Maji Moto
🔹Umeme Luku yake, Maji yanaflow ndani
🔹Ipo ndani ya fensi ya waya na Pana mlinzi kabisaa anaelipwa na mwenye nyumba
🔶Kodi Tsh 270,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 270,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
📌Hii Inakuwa Tayari Kuhamia Kuanzia Tar 10/09/2024 kuiona na Kulipia Ruksa.
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊