Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA ZINAPANGISHWA;
💧Location :: MBEZI MWISHOO (BODABODA 1000)
💧Bei ::150,000Tsh Miezi 4
Muundo wa Nyumba;
📍Chumba Kimoja Masta
📍Sebule kubwa
📍Choo cha Public
📍Jiko
📍Fence
Wasiliana nasi Kwa Maelezo zaidi kupitia;
0782428327
Call /Whatsapp