Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi mwisho, Kituo Magari Saba
🕑Dakika 10 Kutembea Toka Morogoro Main Road au Boda Boda 1000
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Sebule
🔹Jiko
🔹Umeme & Maji Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking
🔶Kodi Tsh 200,000/=×6(Miezi Sita)
🔶Malipo ya Dalali Jose Tsh 200,000/=
🔶Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊