Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
🇹🇿 #APARTMENT #KALI #ZINAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Mbezi Mwisho, Round About ya Goba
🕑Dakika 5 Kutembea Kutoka Morogoro Road Mpaka Hapo
📌Soma Maelezo Vzr ziko Mbili tofauti hapa👇
#SIFAZAKE
🔹Chumba Kimoja Master
🔹Jiko
🔹Umeme Inajitegemea, Maji yanaflow ndani
🔹Fenced Car Parking Kubwa
♦️Kodi Tsh 170,000/=×6(Mpyaa Kabisaa)
♦️Kodi Tsh 150,000/=×6(Iliyowahi kukaliwa)
♦️Malipo ya Dalali Jose Tsh 170k au Tsh 150k
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊