Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฎ๐ฌ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartment ya chumba kimoja cha kulala 'MASTER BEDROOM', Sebule na Jiko...ipo ndani ya fensi, parking space kubwa na inajitegemea umeme na maji ya dawasco
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: Mbezi kibanda cha mkaa upande wa kulia kama unatoka kimara. Umbali ni km 2 kutoka morogoro road
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki mbili tu (200,000/- Tshs) ร miezi 6 + mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- tu. Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)