Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa MBEZI MWISHO dk6
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 220,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
#0785889413