Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI-  MBEZI BEACH MAKONDE 
______________________
 #CHUMBA_SEBULE_JIKO_CHOO#
KODI TSHS LAKI  350,000/=KWA MWEZI
———
MALIPO YA MIEZI 6
________________
NEW APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIBACHELA 
_______
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala Master Sebule kubwa
#na # Jiko  Kubwa lenye Makabati 
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo
#Pervingblock 
FencedApart 
————
Nione 
dalalimbezibeach_goba_salasala 
0715127812/ WhatsApp




















