Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Mbezi, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH AFRICANA JUU
______________________
#CHUMBA_SEBULE__CHOO#
Inajitegemea luku na maji
KODI TSHS LAKI 250,000/=KWA MWEZI
———
MALIPO YA MIEZI
________________
NEW APART NZURI YA KISASA
_____________
YA KIBACHELA
_______
YENYE:-
Chumba kimoja tu cha kulala # Kikubwa Na Sebule
#na # Choo Kikubwa
#Gypsum #Tiles #Slides #Windows
#Umeme upo wa #Luku yake
#Maji yapo ya #bomba #24hrs
Cars #Parking Space ipo