Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


STUDIO-APARTMENT MPYA, TSHS.400,000/MWEZI, SINZA.
Chumba ni kimoja kikubwa,
Kina Choo chake pamoja na Jiko la wazi ndani
Nyumba ni nzuri,
Ipo ndani ya Fensi na Parking ipo.
Ina Jiko la wazi.
Inawekewa AC na pia Ina Kabati la nguo.
Jirani na Kituo cha Daladala.
____________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.20,000.
(Unalipa wewe Mpangaji)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
____________________