Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


🏠 APARTMENT INAPANGISHWA– SINZA VATCAN
📍 Mahali: Sinza Vatcan
💰 Kodi: 600,000 kwa mwezi
🛏️ Chumba kimoja (sebule + jiko)
❄️ Full AC (sebuleni na chumba)
🚿 Bafu & choo safi
⚡ Umeme na maji vipo (mita yako)
🔐 Usalama wa uhakika
🚗 Maegesho yapo
📞 Wasiliana: 0678 512 666



















