Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Sinza, Dar Es Salaam


Apartment kali sanaa
@
Inapangishwa
@
Bei 300,000 kwa mwez
@
Ni chumba kimoja master
@
Kodi ya miez 6 na dalali 7
@
Kipo sinza kijiweni
@
Fensi no parkingi
@
Umeme mita yako
@
Garama ya kupelekwa ni sh 30000
@
Sh 30000
@
Kwa mawasiliano ya sm 0756999550
@
0693184744
@
Namba ya wasp 0659848687