Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Tabata, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: TABATA KIMANGA/ MAWENZI
Umbali wa Kutembea kwa Mguu Dakika 3 kutoka Kituoni
>Sebule kubwa
>Chumba Kimoja cha Kulala Master Bedroom
>Jiko Kubwa
>Public Toilet ya Wageni
>Parking Space Available ๐
>Inajitegemea Umeme Na Maji
>Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
>Reserve TANK
KODI 250,000 ร 6
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp