Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
KODI 180,000 ร 6
LOCATION: UBUNGO MAKOKA
DISTANCE: KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 500 UNAWEZA PITIA KIMARA BARUTI PIA
#SEBULE KUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#CHOO KIZURI NDANI
#KISEHEMU CHA JIKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW CHOONI 24HRS
#UMEME LUKU YAKO
#AINA FENCE ILA USALAMA KAMA LUGALO
#PAKING SPACE KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp