Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent #260k
Location: Ubungo Makoka Kwa Mkuwa
Distance: Dakika 4 Kwa Mguu Kutoka Barabara Ya Lami inayotokea KOROGWE Kwenda EXTERNAL
Unaweza Ukapitia KIMARA KOROGWE Usafiri Bajaji 500 Barabara Mpya
Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaj 500 Barabara Mpya
#Note Njia Zote Barabara Ni 👍 na Nyumba Ni MPYA Zipo Hatua Ya Mwisho
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule Kubwa
• Chumba Kimoja Kikubwa Master
• Jiko lake Kubwa la Kisasa
• Public Toilet ya Wageni
Apartment Zipo 4 Ndani Ya Fence Parking ipo Na Kila Apartment Umeme LUKU Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani Chooni Na Jikoni 24HRS
KODI 260,000 × 6
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp