Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA KODI 250,000X6
LOCTION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA KIMARA KOROGWE MWENDO KASI AU UBUNGO RIVER SAID
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZR LA KISASA
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENSI INAMALIZIWA KUJENGWA PAKING SPACE IPO
IMEBAKI MOJA TU CHANGAMKA NDUGU MTEJA
ANGALIZO INAFAULISHWA SASA JICHANGANYE UTAFURAHIA SHOW
NB: PICHA HIZI ZA MWANZO KWA SASA INAFENCE KABISA NA GETI
MAWASILIANO
WSP
#0710614924
#0688653940