Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa UBUNGO MSEWE DAR ES SALAAM
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Full tilles, gypsum & aluminum
Umeme wa luku & Maji yana flow
Usalama wakutosha
Kodi 200,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 3
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.