Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent โจ๏ธ
Location: UBUNGO MAKOKA
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 700
Unaweza Ukapitia UBUNGO RIVERSIDE Au KIMARA KOROGWE MWENDOKASI
Price: 200,000
๐Sebule Kubwa
๐Chumba Kimoja Kikubwa Master
๐UMEME Luku Yako
๐Maji Yanaflow Chooni 24HRS
๐Fenced
๐Parking Space Available ๐
๐Good Environment ๐
Mpangaji ANAHAMA 25/05/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS ๐ฐ โ๏ธ
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp