Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo, Msewe
#SIFAZAKE
Hii ina Chumba Kimoja ni Master, Sebule, na Jiko
Umeme Luku Yake & Maji yanaflow ndani
Iko ndani ya fensi na Parking nikubwa
Kodi Tsh 300,000/=×6(Miezi Sita)
Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊