Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT INAPANGISHWA
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
✔️SEBULE KUBWA SANA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️UMEME METER YAKO
✔️MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️NYUMBA IKO NDANI YA FENCE
✔️PARKING KUBWA SANA 🚗
KODI 200,000 × 6
SERVICE CHANGER SH.15000
➡️UKITOKEA KIMARA KOROGWE UNAFIKA
➡️UKITOKEA UBUNGO EXTERNAL UNAFIKA
KOTE USAFIRI WA BAJAJI UPO NAULI SH.500
UKISHUKA UNAPIGA TEKE MLANGO
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp