Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Distance: KM 2 Kutoka Morogoro Road Au UBUNGO EXTERNAL
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
PRICE: 250,000 × 6
✔️Sebule Kubwa Sana
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Jiko Kubwa Zuri
✔️Umeme LUKU Yako
✔️Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
✔️Reserve TANK
✔️Fenced &Parking IPO KUBWA 🚘
✔️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
Contact Us
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp