Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
///dalali_muda_ubungo: Nyumba nzuri yakupangisha
Tarehe 1mwezi pili unaingia ndani
#Location: ubungo external
Umbali dakika 4
SIFA ZAKE
-chumba kimoja master na jiko
- dipoziti 250000
Umeme inajitegemea na Maji DAWASA Yanaflow Ndani
Apartment zipo nne Ndani ya fence Parking Ipo
KODI YAKE Tsh. 250000 Malipo Miezi Sita
Service Charge 15000/-
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Dalali Muda
Sina cheni0677370515