Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KUPANGA
#ππ€πππ©ππ€π£: UBUNGO KIBANGU JUU
Umbali wa Kilomita 1.3 kutoka Stand Riverside, Usafiri Boda 1000
ππππ πππ π
============
β’ SEBULE
β’ CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER BEDROOM
β’ JIKO ZURI
β’ PUBLIC TOILET YA WAGENI
Apartment zipo 3 ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea na Maji DAWASA yanaflow ndani.
ππ€ππ π π¬π ππ¬ππ―π π£π Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
HAKUNA CHENI... PIGA TU SIMU
0767636395
0782636396