Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
📍Unaweza Ukapitia Korogwe Usafiri Bajaji 500 Barabara Ni LAMI
📍Unaweza Ukapitia External Usafiri Bajaji 500 Barabara Mpya
#Note Njia Zote Barabara Ni LAMI 👍
KODI 250,000 × 6
✅️Sebule Kubwa
✅️Chumba Kimoja Kikubwa
✅️Jiko Kubwa la Kisasa
✅️Public Toilet Nzuri 🚻
✅️Reserve TANK
📍Apartment Zipo Ndani Ya Fence
📍Parking Space Available 🚗
📍Kila Apartment Umeme LUKU Inajitegemea
📍Maji DAWASA Yanaflow Chooni Na Jikoni 24HRS
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp