Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Distance: KM 2 Kutoka Ubungo External Au Kimara korogwe Mwendokasi
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 300,000 ร 6
Sebule Kubwa Sana
Chumba Kimoja Kikubwa
Jiko Kubwa Zuri
Public Toilet Nzuri
Umeme LUKU Independent
Water Independent & Yanaflow 24HRS
Ipo Kwenye Fence
Full Paving Blocks
Parking Space Available ๐
Good Environment ๐
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp