Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







NEW Apartment Nzuri INAPANGISHWA ✨️
Ipo Karibu Sana Na Main Road
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: KM 1.5 Kutoka Mandela Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
PRICE: 200,000 × 6
✔️Sebule Kubwa
✔️Chumba Kimoja Kikubwa Master
✔️Open Kitchen
✔️Umeme SUB-METER Yako
✔️Maji Yanaflow Chooni Na Jikoni 24HRS
✔️Reserve TANKS
✔️No Fence
✔️Usalama Kama LUGALO 👍
✔️Good Environment 💥
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp