Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment house for Rent nzuri Mpyaa ya Kisasa
Location Ubungo Riverside Dakika 8 Kutembea mpaka Kituoni Barabarani Mandela Road Lami Nyumba. Hukanyagi Mchanga ndio Maana ya Lami Nyumba
Kodi 200000×6 Kwa Mwezi Dalali Mwezi 1 Service Charge 20 Kuona Nyumba
Sifa zake
==========
Ni Master Bedroom
Chumba Kimoja na Choo ndani
Choo ndani Kizuri
Luku yake
Maji Dawasa ndani
Parking space fancy
Slide window
Tiles
Gypsum
Good environment
NB Itakua wazi Tarehe 1/9 / 2025 Kuona Nyumba Ina ruhusiwa mpangaji Akiwepo zingatia Akiwepo!!!
Piga sim Kwa Maelezo zaidi
0712500602
0755336565