Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk4
Nyumba itakuwa wazi mwisho wa mwezi ila kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA MASTER BEDROOM
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Public toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Full security
Parking yakutosha
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga simu what saapp Number 0689-547258