Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


๐ฅ KODI NI Tsh. 130,000/= KWA MWEZI) APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
MASTER BEDROOM KALI SANA
CHUMBA KIMOJA NA CHOO CHAKE NDANI
TILES, GYPSUM BOARD, ALUMINIUM SLIDING WINDOWS
โ๏ธNDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA
โ๏ธ UMEME LUKU SHARE WATATU PIA MAJI DAWASA YANATIRIRIKA NDANI
KODI NI Tsh. 130,000/= ร 6
ILIPWE LAKI MOJA NA ELFU THELATHINI TU KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
๐APARTMENTS HII IPO UBUNGO MAKOKA UMBALI WA KM 2 TU KUTOKA KITUO CHA DALADALA UBUNGO RIVERSIDE PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA KOROGWE
USAFIRI UPO WA UHAKIKA
BAJAJI 500/=
KUTOKA UBUNGO RIVERSIDE
PIA UNAWEZA KUPITIA KOROGWE MWENDOKASI
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347