Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
Location: UBUNGO MAKOKA KWA MKUWA
Distance: DAKIKA 10 KUTOKA MAIN ROAD
Usafiri 24Hours Bajaji, Daladala 500
KODI 200,000 ร 6 .
SEBULE KUBWA SANA
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
PUBLIC TOILET NZURI IPO NDANI ๐ป
TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
IPO KWENYE FENCE
PARKING SPACE KUBWA ๐
FULL CCTV Cameras ๐ท
INAJITEGEMEA UMEME Na MAJI
MAJI YANAFLOW CHOONI 24HRS
FENI SEBULENI NA CHUMBANI
GOOD ENVIRONMENT ๐
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp