Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri Inapangishwa
Zipo 4 Kwenye Fence
Location: UBUNGO EXTERNAL GARAGE
Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 5 Kutoka Main Road 🚶🚶
KODI 250,000 × 6
📍Sebule Kubwa Sana
📍Chumba Kimoja Kikubwa
📍Jiko Kubwa ZURI
📍Public Toilet Nzuri Ipo Ndani 🚻
📍Inajitegemea UMEME Na MAJI
📍Maji Yanaflow Jikoni Na Chooni 24HRS
📍Reserve TANK
📍Parking Car Available 🚗
📍Good Environment 👍
Service Charge 15,000
1 Month Agent Commission
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp