Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: Dakika 10-15 Kwa Kutembea Tu ๐ถ๐ถ
Usafiri 24Hours Boda 1000
KODI 230,000 ร 6
*Sebule Kubwa
*Chumba Kimoja Kikubwa Master
*Jiko Kubwa
*Umeme SUB-METER Yako
*Maji Yanaflow Chooni 24HRS
*Tires, Gypsum Na Slide Windows
*Haipo Kwenye Fence
*Usalama Kama Lugalo
*Parking Space Available
*Good Environment ๐
Service Charge 15,000/=
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp