Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT FOR RENT
LOCATION
UBUNGO MSEWE DK 15 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 222,000/=X6
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
UMEME LUKU NI YA KUSHEA
NA ZIMEFUNGWA SUB METER
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI SAFI JAPO HAKUNA PARKING
CONTACT:: 0672 673363