Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Ubungo Kibo, Dakika 3 Kutembea toka Morogoro Main Road, Barabara nzuri kwa Magari yote ya chini
#SIFAZAKE
💧Chumba kimoja master kikubwa
💧Sebule
💧Jiko (Open Kitchen)
💧Umeme & Maji #Inajitegemea.
💧Fensi na Parking ni kubwa
📌Hii Inakuwa Tayari kuhamia Ndani ya Week Tatu, Kuiona na Kulipia Ruksa
♦️Kodi Tsh 300,000/=×6( Miezi Sita)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 300,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊