Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA. Ni chumba kimoja na sebure. Chumba kina makabati. Choo cha kwako mwenyewe cha nnje. Ukilipia Unafungiwa feni. Umeme unalipia kutokana na matumizi yako kuna submitter. Ipo ndani ya fensi na parking ipo. Kodi 180000/= kwa mwezi. Kipo ubungo kibo dakika 6 kwamguu kutoka stend ya mwendokasi.
#0785889413๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐ฅ



















