Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฎ๐ฑ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Ni apartments MPYAAAA! chumba kimoja cha kulala 'MASTER BEDROOM', Sebule na Jiko....Ipo ndani ya fensi inajitegemea umeme na maji ya DAWASCO
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: UBUNGO MAKOKA....Unaingilia Ubungo Riverside au Kimara Korogwe
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki mbili na elfu hamsini tu (250,000/- Tshs) ร Miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- tu....Italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)