Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam


๐๐ก๐๐ฃ๐๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ (๐ฎ๐ฌ๐ฌ๐ธ ๐ง๐๐ต๐): Hii ni apartment ya chumba kimoja cha kulala (Master bedroom) na Jiko...Ipo ndani ya fensi inajitegemea umeme na maji.
๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ฃ๐ข: UBUNGO KIBANGU JUU...UNAINGILIA RIVERSIDE UPANDE WA KULIA KAMA UNATOKA UBUNGO FLYOVER
๐๐๐ ๐ฌ๐๐๐: Laki mbili tu (200,000/- Tshs) ร miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya Dalali
๐ฆ๐๐ฟ๐๐ฒ๐ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ฟ๐ด๐ฒ kupelekwa kuona nyumba ni Tshs 10,000/- italipwa mara moja na itatumika hiyo hiyo ikiwa mteja utataka kuona nyumba zingine.
๐ฃ๐๐๐ ๐ฆ๐๐ ๐จ: 0758 892945 (Pia inapatikana WhatsApp)