Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Ubungo, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa UBUNGO RIVERSIDE dk5
Nyumba itakuwa wazi trh 27/ 12/2024 kuona na kulipia ruksa
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Toilet
Luku yako
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Paving block
Parking
Kodi 400,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.